altruism

n ubinadamu; uungwana; utu: tabia ya kufikiria wengine kuliko nafsi yako au kuishi na kutenda mambo kwa ajili ya manufaa ya wengine. altruist n mwungwana, mwenye ubinadamu, mwenye utu. altruistic adj - sio na ubinafsi/choyo. altruistically adv kwa utu.