alternate

vt,vi (of two things) 1 kuja/fanya kwa zamu (moja baada ya moja), badilishana, pokezana wet days ~d with sunny days siku za mvua zilibadilishana na siku za jua. 2 ~ between geuka kati ya hali na hali. 3 ~ with fuatana, moja baada ya jingine adj -a moja baada ya moja, -a mpokezano, (of dates) -a kwanza, -a tatu n.k. they met on ~ days walikutana kila baada ya siku moja ~ member mwanachama mbadala. ~ ly adv kwa zamu, kwa mpokezano. alternating adj -a moja baada ya moja. alternating current n mkondogeu: mkondo (wa umeme) unaogeuza mwelekeo baada ya kitambo fulani. alternation n matukio ya zamu, ubadilishaji duru. alternative n 1 uchaguzi badili: fursa ya kuchagua kati ya mambo mawili au zaidi. 2 mbadala, kibadala I have no alternative sina uchaguzi/ hiari is there no alternative hakuna njia nyingine? adj -ingine, -a pili, -enye hiari kati ya mambo mawili, enye fursa ya kuchagua baina ya vitu viwili. alternately adv badala yake. alternator n altaneta: jenereta (inayogeuza mkondo wa umeme).