altar

n (rel) 1 madhabahu, meza ya kutolea dhabihu au kafara. 2 (christian) altare: meza panapopokewa ushirika Mtakatifu. (phr) lead (a woman) to the ~ oa ~ - cloth n tandiko la altare. ~-piece n (rel) picha au sanamu nyuma ya altare.