alpha

n alfa: herufi ya kwanza ya alfabeti, ya Kiyunani. A~ and Omega mwanzo na mwisho. ~ rays miali alfa. ~ plus -zuri kabisa.