allure

vt vutia, shawishi, tamanisha. n mvuto, ushawishi. allurement n kivutio, kitamanishacho. alluring adj -a kuvutia, -a kutamanisha.