alloy

n aloi: mwungano wa metali zaidi ya moja kufanya aina mpya ya metali. vt 1 changanya metali bora na fifi. 2 (fig) dhoofisha, punguza thamani/ubora.