alliteration

n takriri: marudio ya silabi za mwanzo k.m. kuno kunena kuno kwa nini. alliterative adj -enye takriri. alliteratively adv.