1adj 1 -ote, kila. ~ Saints' Day 1
Novemba siku ya watakatifu wote. ~ Souls' Day, 2 Novemba, siku ya Marehemu wote/ ~ the people watu wote. 2 -o -ote beyond ~ doubt bila shaka yoyote.
all
2adv kabisa, -ote she was ~ excited
alisisimkwa ~ alone peke yake, bila msaada wa mtu yeyote. ~ along -ote -zima
~ alongthe road barabara nzima; (colloq) muda wote, tokea mwanzo. ~ the same lakini; hata hivyo. ~the same to/ ~ one allto mamoja, sawa haidhuru; (colloq) choka sana. ~ out(colloq)
jitihada zote. ~ over kila mahali, pote; -kwisha. ~ right sawa. ~ told kwa jumla. ~up (with) kwisha, malizika.
all
3nmy/his/their etc ~ kila kitu, mali yote he has losthis ~ amepoteza kila kitu.
all
4(in compounds) 1 adj prefix -a
kiwango cha juu kabisa; siyo na mipaka. ~ merciful mwenye rehema zote. 2 (of
radio)~ -mains volteji zote. ~ -round -a kila kitu; stadi katika kila
fani. ~ time high/low(colloq) rekodi ya juu/chini/kabisa. (of an aircraft) (phr)~ up weight uzito wa jumla wa ndege angani.
all
5pron 1 -ote, kila kitu he wanted ~or
nothing alitaka kupata yote au kukosa yote. ~ (of) kila mtu, -ote ~ of us
want to go sisi sote tunataka kwenda. (not) at ~ kwa vyovyote; kabisa ifyou are at ~ worried ikiwa una wasiwasi wowote he is not at ~ suitable hafai
kabisa. not at ~ si kitu. once (and) for ~ kwa mara ya mwisho; kwa jumla.
~ in ~ kwa jumla ~ in ~it was a good seminar kwa jumla semina
ilikuwa nzuri; tegemeo she is~ in ~ to him yeye (mke) ndiye tegemeo lake (mume). Allahn Mwenyezi Mungu (katika Uislamu).