align

vt,vi weka/panga katika mstari ulio sawa, linganisha. 2 fungamana. alignment n mfungamano, mfuatano. aligned adj fungamanifu. non ~ed adj -sio fungamana.