alight
alight
1 vi 1 shuka, teremka (kutoka kwenye farasi, motokaa n.k.). 2 tua the bird ~ed on the branch ndege alitua tawini. 3 (fig) ~ on pata kwa bahati.alight
2 adj (be) -inayowaka,
inayong'aa, inayomeka (fig) their faces were ~ with happiness nyuso zao ziling'aa kwa furaha.