alcohol

n kileo: dawa inayotokana nasukari au vitu vyenye sukari vinapochacha, pombe; spiriti. alcoholic adj -a kileo, -a kulevya, -enye asili ya kulevya n mlevi sugu. alcoholism n taathira ya ulevi; dalili na hali ya ugonjwa uletwao na ulevi.