alchemy

n alkemia: kemia ya karne za kati iliyokusudia kugeuza metali ya kawaida kuwa dhahabu. alchemist n mualkemia.