alarm
n 1
kamsa, king'ora; onyo la hatari; yowe. raise the ~ piga mayowe/king'ora,
hadharisha. 2 hofu, wasiwasi (iliyoletwa kwa hatari iliyokaribu), mshituko wa hofu. ~
vt shitua, kamsisha; ogofya be ~ed at something ogopa; shtuka, ~ clock n
saa ya kengele. alarming adj -a kutia hofu, -a kutisha, -a kuogogofya. alarmist n mvumishaji (wa mambo ya kutisha).