air

n 1 hewa; upepo. in the ~ -sio na hakika, -vumayo; hewani. clear the ~ safisha hewa (fig) ondoa mashaka (kwa kusema ukweli). 2 by ~ kwa ndege. 3 (radio) on the ~ redioni, (sikika) hewani. 4 upepo mwanana 5 umbo, mandhari has an ~ of importance onekana kuwa mtu maarufu (usu pl). give oneself/put on ~s jidai, jitwaza, jifanya mtu wa maana, ringa. vt 1 anika, kausha. 2 achia hewa ipite. 3 toa (mawazo n.k.). airing n 1 kuanika give an ~ing anika kitu. 2 kupunga hewa go for an ~ing punga hewa. airless adj -enye fukuto, bila hewa, kutokuwepo upepo kabisa. airy adj 1 -enye wingi wa hewa. 2 (trifling) -epesi.