agree

vi 1 kubali. 2 patana, kubaliana, ridhiana, afikiana. 3 ~ (with) lingana, fanana. 4 ~ (with) chukua, afiki the climate does not ~ with me hali ya hewa hainichukui. 5 (of sums, accounts etc) oana, kuwa sawa. agreed adj -liokubaliwa, be ~d with somebody on/about something kubaliana juu ya ~d upon iliyokubaliwa that's ~d! imekubalika! sawa. agreeable adj 1 -a kupendeza, -zuri, -tamu, -latifu. 2 -a maridhia. be ~able to ridhiana na. ~ ableness n 1 kupatana, kukubaliana. 2 adabu. agreement n 1 maafikiano 2 (contract) mapatano, kondrati, kandarasi, mkataba. come to/arrive at/make/reach an ~ment with somebody patana na. 3 (gram) upatanifu.