agnate

n ndugu wa kuumeni adj 1 -a kuumeni, -a upande wa baba. 2 (fig) -a damu moja, -a asili moja, -a kutoka taifa moja, -enye udugu. 3 -a kufanana, -a kushabihiana.