aggression

n uchokozi, ushari (wamaneno au vitendo). aggressive adj 1 -shari, -gomvi, -chokozi; jeuri. 2 -a kutaka maendeleo, -a hima ~ salesman mwuzaji mwenye hima. ~ness n uchokozi, ushari; hima.