aggrandize, aggrandise

vt jiongezea/ jitwaza/jitwalia zaidi (hasa madaraka, cheo, utajiri, umaarufu n.k.). ~ment n kujiongezea, kutwaza, kujitwalia zaidi.