agent

n 1 wakala, ajenti. 2 nguvu za asili au mtu anayetenda kupata matokeo fulani rain and wind are agents that wear down rocks mvua na upepo ni nguvu za asili zinazomomonyoa miamba. agency n 1 wakala, uajenti. 2 nguvu, njia ya kufanya kitu. 3 sehemu/ofisi ya biashara.