1n 1 umri. (leg)~ of consentn
umri wa idhini. over ~n kuzidi umri uliowekwa. underagen umri
pungufu wa uliowekwa. old ~n uzee, ukongwe. ~ groupn hirimu,
rika. be of an ~ -wa na umri wa kufanya jambo. 2 kipindi, zama stone ~ kipindi cha zana za mawe. 3 (period) kwa muda mrefu.
age
2adj(of persons) -zee, -kongwe an
~dman mzee; (of things) kuukuu, -a kale, -a zamani. ~ ingn
kuzeeka. agelessadj -a milele, -a kudumu mpaka mwisho, -siozeeka ~ longadj -a umri mrefu. ~ oldadj -a miaka mingi.