after

adj -a baadaye, -a nyuma, -a kufuata in ~ years miaka inayofuata adv baadaye, halafu conj; prep baada ya, nyuma ya (phr) ~all hata hivyo; ingawaje pref -a baadaye afternoon alasiri. do something ~a fashion fanya kitu kwa namna moja au nyingine. a man ~ my own heart mtu ninayefanana naye kitabia (phr) be/get ~somebody andama mtu.~ birth n kondo la nyuma. ~ care n utunduizi baada ya kupona ugonjwa au kutoka gerezani. afterclap n 1 itiko. 2 matokeo yasiyotarajiwa (agh mabaya). afterpiece n fasi, mchezo mdogo baada ya tamthilia maalum. ~ cabin n (naut) chumba cha sitaha ya nyuma. n (colloq) visindikizo (baada ya mlo).