affect
affect
1 vt athiri; gusa, hisi our position
will not be ~ed by these events msimamo wetu hautaathiriwa na matukio haya. affecting
adj -enye kuathiri, -enye kuchoma moyo. affected adj 1 (diseased;
injured) -lioumia, -lioathirika, -lioshikwa na ugonjwa maumivu. 2 -lioguswa (na sikitiko, furaha, huzuni n.k.).affect
2 vt jifanya, jisingizia, jitendekeza,
jitia ~ ignorance jitia hamnazo, jitia mwapuza. affected adj. affectation n
tabia ya kujifanya. affectedness n. affection n (love) upendo,
huba mutual ~ kupendana, urafiki. gain/win somebody's ~ion (s) pendwa na. affectionate
adj -enye moyo wa kupenda, -a kupenda, mpenda. affectionately adv yours ~ionately akupendaye.