aegrotat

n igrotati: hati ya kuthibitisha kwamba mwanafunzi hawezi kuhudhuria mtihani kwa kuwa mgonjwa . ~degree n shahada igrotati.