vt,vi 1 shauri, nasihi, waidhi. 2 (inform)
arifu, julisha. advisern mshauri spiritual ~ muaidhi. advisedadjwell ~ -a busara ill ~ si -a busara. advisedlyadv baada ya
kutafakari sana; kwa makusudi. advisoryadj -a ushauri advisory committee kamati ya ushauri. advisableadj bora, -a kufaa, -a busara.