adventure

n tukio; tukio lisilo la kawaida/la hatari/la ajabu a life of ~ maisha yenye vituko. ~r/ress n mpenda vituko. adventurous adj 1 -enye kuthubutu. 2 -a hatari. adventurism n ujasiri, bahatisho, jusura.