Advent

2 n (rel) muda wenye Jumapili nne unaotangulia Krismas; kuja kwa Kristo; kuja kwa Kristo kwa mara ya pili. Adventist n mtu anayeamini kuwa Kristo atakuja tena hivi karibuni Seventh Day Adventist Msabato.