advantage

n 1 heri, nafuu. 2 faida, manufaa, mafao. take ~ of tumia (kitu fulani) kwa manufaa ya; jinufaisha; danganya. 3 have/ gain/win an ~ (over), piku, kuwa na hali bora kuliko vt nufaisha. advantageous adj -a manufaa, -a kuleta faida. advantageously adv.