advance

n 1 maendeleo. 2 (finance) chambele; mkopo. 3 (pl) kujipendekeza he made ~s alitongoza . 4 mapema, kabla ya; rubuni he saw me in ~ of the meeting aliniona kabla ya mkutano he booked in ~ alirubuni. ~ vt,vi 1 endelea mbele, songa mbele, sogea. 2 toa ~ an opinion toa (kauli, shauri). 3 sogeza the date was ~d tarehe ilisogezwa mbele. 4 (finance) kopesha, toa karadha. 5 (rare) (price/rent) zidisha, pandisha. advanced adj 1 -liotangulia, -lioko mbele. 2 (of people and ideas) -enye kuona mbele. ~d studies masomo ya juu. 3 -lioendelea. 4 (in years/age) -zee. 5 -lioongezeka. advancement n 1 maendeleo. 2 (position/rank) kupanda.