adulate

vt sifu mno (hasa kwa kujipendekeza), vika kilemba cha ukoka. adulation n. adulator n msifu, asifuye. adulatory adj.