adopt

vt 1 panga utoto ~ a child panga mtoto ~ ed child mwana wa kupanga. 2 kubali ~ a resolution/an idea kubali azimio/wazo. 3 chukua/twaa na tumia we have ~ted the British legal system tumechukua mfumo wa sheria wa Kingereza. adoption n 1 kitendo cha kupanga mtoto. 2 kukubali. 3 kuchukua/ kutwaa. adoptive adj -a kupanga.