adolescent

adj -a balehe n 1 kijana (kuanzia kubalehe hadi miaka 18). 2 mzulufu, mzee kijana. adolescence n ujana (kipindi kati ya utoto na utu uzima).