admit
vi,vt 1 ruhusu kuingia, ingiza, pitisha ~ into a
house ruhusu mtu kuingia ndani ya nyumba. 2 chukua, kuwa na nafasi ya the hotel ~s
only 50 people hoteli inachukua watu 50 tu. 3 laza. be ~ted into hospital lazwa hospitali. 4 (acknowledge) kiri, ungama, kubali ~ (to)
guilt kubali kosa. 5 ruhusu; acha nafasi kwa it ~s of no doubt haina shaka
hata. admittedly adv hakika. admissible adj 1 (leg) -a kukubalika,
kubalifu, halali admissible evidence ushahidi wa kukubalika. 2 (formal) -a
kufaa. admissibility n kukubalika, ukubalifu. admission n 1
ruhusa ya kuingia; kiingilio. 2 kukiri, kukubali, kuungama on his own admission kwa
kukiri mwenyewe. no admission si ruhusa kuingia. admittance ruhusa ya kuingia, haki ya kuingia.