admire

vt 1 tazama na kupendezwa; stahi, penda. 2 (wonder at ) staajabia, shangilia. admirable adj -a ajabu, -zuri, -a kusifiwa, -a haiba. admirably adv kwa mshangao. admiration n upendezewaji, uvutiwaji; mshangao, ajabu, tendo la kupenda (kustahi, kusifu, kushangaza, kustaajabu). admirer n ashiki (wa mwanamke). admiring adj -enye kuonyesha kustaajabia, kusifu; -enye kuvutiwa, -enye kushangilia. admiringly adv kwa kustaajabu, kwa kusifu.