adjudicate

vt,vi 1 hukumu, amua. 2 sikiliza kesi. 3 tamka to ~ somebody bankrupt kutamka kuwa fulani mufilisi. adjudicator n 1 hakimu, jaji. 2 mwamuzi. adjudication n 1 hukumu. 2 tamko la ufilisi.