act
vt,vi 1 (take action) tenda, fanya. 2 (of
stage) cheza, igiza. 3 jifanya;(feign) ~ for (represent) wakilisha ~
(up) on 1 (a suggestion/ advice) fuata; fuatilia. 2 athiri this medicine ~s
upon the heart dawa hii inaathiri moyo. ~ as fanya kazi ya he ~ s as an
interpreter anafanya kazi ya ukalimani. ~ up 1 jifanya, jifaragua. 2 leta
maumivu au maudhi. ~n 1 tendo, kitendo, amali in the ~ katika
kutenda/kitendo. 2 sheria (iliyopitishwa na Bunge). 3 onyesho (katika tamthiliya). 4 (pretence)
kujifanya, kujifaragua. A~ of God kudura. actor n 1 mtenda, mtendaji,
mhusika. 2 (player) mchezaji. actress n mtendaji wa kike. action n
1 tendo, kitendo, amali. take ~ anza kutenda, chukua hatua. out of ~ mbovu.
2 (gesticulation) ishara za maungo. 3 (effect) athari, matokeo ~ of
medicine, salt n.k. matokeo ya kutumia dawa, chumvi n.k. 4 (fighting) mapigano.
5 (leg) madai; mashtaka, daawa criminal~ mashtaka ya jinai. actable adj
(leg) -a kuchukuliwa hatua. 6 (lit) (action of a play) onyesho. activeadj 1 -tendaji. 2 mashughuli. 3 hai ~ive members wanachama hai. ~ive volcano n volkeno hai. 4 (gram) tendi. active voice n kauli
tendi. activate vt amsha, chochea. activism n (polit)
uhamasishaji kwa vitendo. ~vist n mhamasishaji mtendaji. ~vity n 1 hali ya utendaji; kushughulika; bidii, juhudi. 2 shughuli, utendaji, amali.