acquire

vt pata, jipatia kitu (hasa kwa kujifunza au kujizoeza au kwa jitihada) ~d taste upendeleo zoefu. ~ ment n upataji. acquisition n 1 kupata. 2 pato, kitu kipatikanacho. acquisitive adj -enye uchu/tamaa ya kupata. acquisitiveness n.