acquaint

vt 1 julisha, pasha habari, fahamisha. 2 fahamiana na, zoeana na. 3 jizoeza ~ oneself with one's work jizoesha kazi be ~ed withsomeone fahamiana na mtu fulani. acquaintance n 1 uzoefu, ujuzi, maarifa. 2 mtu unayemfahamu, jamaa.