acknowledge

vt 1 kiri, kubali. thibitisha he didn't ~ defeat hakukiri kushindwa; (receipt of ) I ~ your letter ninathibitisha kupokea barua yako. 2 shukuru. 3 (regard as) tambua he is ~d to be an expert of this subject anatambulikana kuwa ni bingwa katika fani hii. 4 onyesha ishara ya kutambua I passed her in the street but she didn't ~ me nilipishana naye barabarani lakini akajifanya hakunitambua. acknowledged adj -naetambuliwa. acknowledgement n 1 kukubali, kukiri. 2 shukrani.