accretion

n 1 uongezekaji au ukuaji wa kitu utokanao na kuongezewa au kulimbikiziwa vitu vya nje. 2 ongezeko (hasa la polepole).