accoutrements

n 1 vikorokoro, vitu vidogovidogo vinavyotumika katika shughuli fulani, hasa safari. 2 vifaa vyote vya askari isipokuwa mavazi na silaha.