account

account

1 n hesabu; akaunti. current ~ n akaunti ya hundi. savings ~ n akaunti ya akiba. deposit ~ n akaunti ya amana. final ~ n hesabu za mwisho. accountancy n uhasibu. accountant n mhasibu.

account

2 vi 1 fikiria He is ~ed innocent until he is proved guilty anafikiriwa kuwa hana hatia mpaka atakapotiwa hatiani. 2 eleza sababu ya. 3 -wa sababu ya angamizo, teka. accountable adj -enye kuwajibika, -enye kuhusika. accountability n 1 mkokotoo manufaa. 2 put something to good ~ tumia kitu kwa manufaa. 3 maelezo. call somebody to ~ taka mtu ajieleze. 4 (phr) give a good ~ fanya vizuri. 5 (phr) take something into ~ zingatia sababu. 6 on ~ of kwa sababu ya.