1n 1 makubaliano, maafikiano.2 mkataba. 3 uwiano. 4 (phr)of her own ~ kwa hiari yake, bila kulazimishwa.
accord
2vi 1 (with) patana (na), lingana (na); kubaliana (na) vt (formal) jalia, pa, toa ~ permission toa ruhusa, -pa ruhusa ~ a warm welcome karibisha kwa shangwe. accordancen kukubaliana in ~ance with kwa mujibu wa, kwa kufuatana na. accordantadj -enye kupatana kulingana na. according (conj) you will be paid ~ingas you work hard or poorly: utalipwa kwa kadiri ya utendaji kazi wako. according (prep) he will be paid ~ing to his work atalipwa kufuatana na kazi yake. accordinglyadv.