accompany

vt 1 enda na, fuatana na. 2 andamana na fever accompanied with delirium homa iliyoandamana na kuweweseka. 3 (mus) pamba. accompaniment n 1 kifuasi, kiambata. 2 (mus) ala saidizi. accompanist n (mus) mpiga ala saidizi.