accommodate

vt 1 patia mahali pakuishi. 2 patia nafasi the house ~s ten people nyumba ina nafasi ya watu kumi. 3 (adapt) rekebisha. 4 (oblige) fadhili, kirimu, -pa to ~ somebody with a loan fadhili kwa kumpa mkopo mtu. accommodating adj -a hisani, -enye hisani, maridhia. accommodation n 1 (board) nyumba/vyumba vilivyo tayari kukaliwa/kupangishwa. 2 marekebisho 3 (kindness) fadhila, hisani. 4 maafikiano.