accessary
n msaidizi, mshiriki, hasa katika jinai. accession
n 1 kupata au kupanda cheo. 2 (increase) nyongeza recent ~ to the library
nyongeza za karibuni za vitabu vya maktaba. accessory n 1 see accessary
2 n kifuasi, kitu cha ziada accessories of a bicycle vifuasi vya baiskeli k.m. taa, kengele, pampu.