access
n 1 (means of) njia ya kufikia. ~ road barabara ya kuingilia. 2 (liberty) fursa ya
(kukaribia, kutumia, kuingia) easy of ~ rahisi sana kuingia. 3 (sudden burst)
kupandwa ghafla (na hisia, homa) an ~ of anger kupandwa hamaki/ hasira. accessible adj -a kuingilika, -a kufikika; -a kupatikana.accessibility n ufikikaji; upatikanaji.