accent
n (gram) 1 kiinitoni. 2 lafudhi. 3 (colloq)
msisitizo this year the ~ is on youth: mwaka huu msisitizo ni wa maendeleo ya
vijana tamka kwa lafudhi; sisitiza; tia shadda; bainisha. ~vt tamka kwa lafudhi. accented adj. ~uate vt tia mkazo. accentuation n