academy

n 1 chuo (cha elimu ya juu). Military ~ Chuo cha Jeshi. 2 akademia (chama cha maulama). academician n mwanachama wa chama cha maulama; mwanataaluma.