academic

adj 1 -a kitaaluma. 2 (discussion) -a kinadharia mno. ~ n ulama; mhadhiri. academically adv. academical adj. academicals n mavazi (joho na kofia) wakati wa mahafali au sherehe rasmi za chuo.