abuse

vt 1 tumia vibaya. 2 tukana, tusi. 3 dhulumu, onea. ~ n 1 matumizi mabaya. 2 tabia mbaya. 3 matusi; maneno machafu/makali. abusive adj abusive language lugha chafu. abusively adv. abusiveness n.